Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Kurudi kwamara ya kwanza kwa baraza la nchi mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu huko Minembwe  katika jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:Gemedari Sylvano Kasongo kuhusu watembeza pikpiki wamji wa Kinshasa.
  • Goma:Waziri wa afya alizinduwa kampeni ya chanjo ya kipindu pindu katika maeneo saba ya afya humo jimbo la Nord Kivu
  • Kananga:Uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya surua katika Luebo jimboni Kasai central
  • Bunia:Zaidi ya kesi elfu tisa za ugonjwa wa ukambi wenye vifo kadhaa humo jimbo la Ituri.
  • Kalemie:Kuenea kwa viwango vya maambukizi ya magonjwa katika vijiji vya Mulolwa jimboni Tanganyika. /sites/default/files/2019-10/30102019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3