Journal Swahili Soir

  • Beni:Kujisalimisha ya wapiganaji mia mnane Mai Mai UPLC jimboni Nord Kivu
  • Beni:Kazi kubwa za kijeshi zilizunduliwa zidhi ya kundi za silhaa mashariki mwa nchi
  • Kisangani:Lucha ina sema hapana kwa operesheni za pamoja za kjeshi na jeshi la kigeni
  • Kinshasa:Dola milioni moja zilishikwa uwanjani wa ndege wa Ndjili mjini Kinshasa
  • Lubumbashi:Wanafunzi wa chuo kikuu ya Lubumbashi miezikumi na mitano bila kuapa kiapo
  • Beni:Umhimu wa alama za udhibiti kwa ugonjwa wa virusi vya Ebola./sites/default/files/2019-11/01112019-a-s-journalswahilisoir-00_0.mp3