Journal Swahili Soir

  • Beni:Watu kumi waliuawa na shambulio la wa EDF asubui ya leo huko Eringeti katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Lucha chama cha mwana nchi cha kupiganisha ajili ya mabadiliko eneo la Beni kina zinduwa kampeni kwa kuunga jeshi la taifaa mkono kazini humo jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:Mwito kwa jamii wa Lendu ya kusito tumia ujeuri kwa kudai haki zao
  • Kinshasa:Hali mbovu ya maisha ya wagonjwa  katika hospitali kuu ya Kinshasa
  • Kinshasa:Padri Leon de Saint Moulin amewekwa ndani ya udongo mjini Kinshasa leo
  • Kinshasa:Kesi ya Dolly Makambo yana endelea mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Pendekezo ya sheria kuhusu haki ya mgomo./sites/default/files/2019-11/06112019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3