Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:SylvestreIlunga Ilunkamba, waziri mkuu wa DRC ametowa muswada wa fedha wa mwaka wa elfu mbili na makumi mawili
  • Kinshasa:Ujumbe wa muisho Freddy Matungulu na benki ya maendeleo y'Africa ajili ya jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo
  • Bukavu:Kufwatlia bure katika mashule ya msingi shule uuliza wazazi kulipa walimu wapya humo jimbo la Sud Kivu
  • Beni:kufwatilia shuguli za kijeshi dhidi ya EDF nafasi zao kadhaa zina zingatiwa na vikosi vya taifaa
  • Bunia:Harakati ya wakaji kukimbia Lwemba kuenda Biakato kwa hofu ya mashambulizi ya Mai Mai katika eneo ilo la Ituri
  • Kinshasa:kesi inampatia Dolly Makambokuanza kwa maagizo
  • Lubumbashi:Wabunge walipiga kura ya maoni ya hoja ya kujiamini dhidi ya Liwali wa Haut Lomami./sites/default/files/2019-11/08112019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3