Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Kwanzishwa  leo mjini Kinshasa kwa mkutano wa biashara BOSANGANI DAYS
  • Kinshasa;mahojiano kati ya Emmanuel Macron na Felix Tshisekedi
  • Kinshasa:kardinali Fridolin Ambongo juu ya elimu ya msingi ya bure
  • Matadi:Miezi mitano bila malipo kwa wana bunge wa jimbo la Kongo central
  • Goma:Mkutano wa umoja wa mataifaa François Grignon katika jimbo la Nord Kivu
  • MbujiMay:Nyumba zilizochomwa katika eneo la Kasanda kufuatana na mizozo ya kikabila humo jimbo la Kasai Oriental
  • Kinshasa:kesi ya Dolly Makambo yanaendelea kunako korti kuu ya Mahakama./sites/default/files/2019-11/13112019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3