Journal Swahili Soir

  • Matadi:uchunguzi wa baruwa ingine ya hoja zidhi ya liwali Atou Matubwana wa humo jimbo la Kongo Central
  • Kinshasa:mawaziri wawili walialikwa ajili ya hali ya usalama ndogo  kutambulikana mashariki mwa nchi
  • Beni:watu wanee wameuawa pale Pululu mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Hotuba ya viongozi wa dini kuhusu swala la usalma ndogo katika eneo la Beni humo jimbo la Nord Kivu
  • Goma:Mazungmzo ya kijamii kati ya gavana wa jimbo la Nord Kivu na vijana kuhusu maandamano hutambulikana humo jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:DAvid Gresley ametangaza kupanuliwa kwa timu za majibu kwa virusi vya Ebola pa Biakato humo jimbo la Ituri
  • Kinshasa:Agizo ya wizara ya sikutoa vibali vya ujenzi kwenye tovuti ziso jengwa na pya na fasi zinazosumbuwa wakaji humu nchini jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo./sites/default/files/2019-12/04122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3