Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Waziri wa ulinzi kuhusu kushiriki kwa wazaliwa wa Kongo wamoja katika fujo endelevu ya pale Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Majibu ya wabunge dhidi ya hotuba ya mawaziri jana siku ya tatu kuhusu tatizo la huko Beni
  • Bukavu:Liwali wa jimbo la Sud Kivu anaalika wakaji chinyi yauongozi wake wawe tulivu 
  • Matadi:Kuhusu hali yenye kutambulikana kunako baraza la bunge la jimbo la Kongo Central
  • Bunia:kazi za matibabu kwa wagonjwa wa Ebola imerudi tena pa Biakato mtaani Mambassa katika jimbo la Ituri
  • Goma:Kiongozi ausika na majibu kwa Ebola kunako OMS ana tangaza matokeo ya Ebola kwa siku ya leo humo jimbo la Nord Kivu./sites/default/files/2019-12/05122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3