Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Watu zaidi ya makumi mawili wamefariki kwa msiba wa gari katika barabara ya kwanza katika jimbo la Kongo Central na lile la Kwilu
  • Beni:Shambulizi mpya la EDF katika sekta Beni Mbau mtaani Beni Humo jimbo la Nord Kivu
  • Butembo:Kazi zilizorota asubui ya leo pale Butembofujo kati ya vijana na askari poli pale Fourou na Mutchanga  katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:maandamano ya wana chama cha CALCC
  • Lubumbashi:maeneo saba za jimbo la afya kati ya maeneo makumi mawili an saba zimetatizwa na ugonjwa wa kipindu pindu huko jimbo la haut Katanga
  • Matadi:Hali yenye kudumu humo jimbo la Kongo Central 
  • Kinshasa:maandamano ya warekebishaji wa mji jimbo la Kinshasa./sites/default/files/2019-12/06122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3