Journal Swahili Soir

  • Goma:maandamano maarufu yanaendelea vibaya asubui ya leo mjini Goma katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:kwanza tena kwa madarsa leo siku ya pili katika vyuu vikuu kadhaa katika eneo ilo la jimbo la Nord Kivu
  • Butembo:Kituo cha afya kilitatizwa jana na wanao zainwa kuwa mai mai 
  • Kinshasa:Ripoti juu ya masharti ya kizuizini wale walihukumiwa kifungo cha kifo
  • Kinshasa:mkutano wa wandshi wa habari na Green Peace
  • Kisangani:Bei ya bidhaa za hitaji ya kwanza vina ongezeka bei humo jimbo la Tshopo./sites/default/files/2019-12/10122019-a-s-journalswahilisoir-00_0.mp3