Journal Swahili Soir

 

  • Kinshasa:Rais Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo amefungua mkutano wa pili juu ya madaraka mjini Kinshasa
  • Bunia:Msiba wa gari umesababisha kufariki kwa wanafunzi wawili na wengine kumi na mmoja kujeuriwa mjini Bunia katika jimbo la Ituri
  • Goma:Kusikilizwa kwa wamaskari polisi watatu kuhusu kuawa kwa mwana funzi mmoja jana pale kartaa Kasika mjni Goma humo jimbo la Nord Kivu
  • Lubumbashi:Miili makumi manee ziliogotwa mda wa miezi mmoja msituni katika mtaa wa Kambove jimboni Haut Katanga
  • Beni:Ziara ya kazi ya Francois Grignon kwa mara ya tatu mda chinyi ya wiki mbili mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Tuzo ya haki za binadamu ya Ufransa imepewo kwa mzaliwa wa Kongo ya kidemocrasia bi marceline Budza/sites/default/files/2019-12/11122019-a-s-journalswahilisoir-00_1.mp3