Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Raissi wa jamhuri FelixAntoine Tshisekedi Tshilombo ametoka kuzinduwa rasmi kiwanda mpya cha maji safi cha Regideso mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Kikao cha kwanza cha Adolphe Muzitu  Mratibu wa umoja wa Lamuka 
  • Beni:wassi makumi matatu na saba ya EDF waliwasilishwa kwa waandishi wa habari wa Beni 
  • Matadi:Hotuba ya meya wa mji wa Matadi kwenye wamakala wa PCR kuhusu usalama ya wakaji na mali yao
  • Kalemie:Ziara ya waziri wa miundombinu ya jimbo la Tanganyika kuhusu daraja la Lualaba
  • Butembo:hali kutambulikana katika soko ya Butembo siku moja mbele ya kusherekea Chrismas
  • Kinshasa:Uchafu ni shida katika maeneo zimoja za mji wa Kinshasa./sites/default/files/2019-12/23122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3