Journal Swahili Soir

  • Beni:jeshi la taifaa linatangaza atuwa kadhaa ajili ya usalama ya maeneo alizoziokowa humo jimbo la Nord Kivu
  • Goma:Baraza la kijamii la humo jimbo la Nord Kivu lina omba kwandaliwa mara tena kikao ajili y'amani ya eneo la  Beni kwa kipekee na la jimbo mzima kwa jumla
  • Kalemie:kupewo vyeti kwa wassi wa zamani  elfu moja wa Twa na Elements pale Lyoni jimboni Tanganyika
  • Kisangani:Mashuwa imoja ilizama ndani ya jito Kongo katika eneo la jimbo la Tshopo
  • MbujMay:Bey ya mahindi imepuunguka katika masoko za jimbo la Kasai Oriental
  • Kinshasa:Kuhusu sherhee ya muisho wa mwaka , hali gani kutambulikana katika vyumba vya baridi./sites/default/files/2019-12/24122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3