Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:hali imerudi tulivu mtaani Lingwala kiisha hofu kuletwa na afisa polisi aliechanganyikiwa kiakili
  • Beni:Kikao cha majadiliano kati ya kiongozi ya Monusco Beni na mawakilishi ya wakaji wa eneo ilola jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Shirika la one girl one leader linashutumu hali mbaya ya wasichana wahami kuiishi Beni
  • Goma:Mjibu ya shirika la kiraia la mji wa Goma katika jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:siku kumi na saba bila kesi mpya ya Ebola kurikodia pa Bunia katika jimbo la Ituri
  • Beni:Kesi nne mpya za Ebola zimerikodiwa pa Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Motiani ajili ya wafanya kazi mpya kunako shirika la forodha na ushuru DGDA./sites/default/files/2019-12/26122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3