Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Mkutano wa serikali huko Zongo katika jimbo la Kongo Central
  • Kinshasa:Kufunguliwa kwa kikao  cha serikali pa Zongo katika jimbo la Kongo Central
  • Bunia:Shambulizi la vijiji tatu vya kitongozi cha Mambasa katika jimbo la Ituri
  • Goma:Hali mbovu ya kiutu kwa wahami wa  huko barabara NyabiondoLwibo-Lukweti na Mutongo jimboni Nord Kivu 
  • Kalemie"serikali ya jimbo ya Tanganyika ina leta mjibu kwa wizi wa mishara ya walimu na watu wa silhaa pale Kabalo
  • MbujMay:Kuanzishwa kwa chanjo mpya ya kupiganisha kuhara katika jimbo la Sankuru./sites/default/files/2019-12/27122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3