Journal Swahili Soir

  • Bukavu:msemaji wa shirikisho la watetezi wa walimu wa shule za kidini  anatangaza kusito rudilia masomo katika mashule za  usika mnamo tarhe sita januari katika jimbo la Sud KivuAlikwa la musa
  • Kinshasa:Tangazo la kiuchungaji  la mwaka mpya cha mchungaji Bokundoa wa Ecc mjini Kinshasa
  • Beni,mafarakano kati ya maafisa mawili ikasababisha kufariki kwa mtu mmoja pa Mai Moya mtaani beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Goma:Korti kuu ya mahakama ina hukumu  waliechoma moto makaoni pa Goma na kusababisha kifo cha mtu mmoja
  • Butembo:Alikwa la msanii musika bi Voldie Mapenzi ajili ya kuzuka mara tena kwa Ebola mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Baruwa ya waziri mkuu kwa maliwali na viongozi wa majimbo manne za jamhuri ya kongo Ituri,Sankuru ,Haut Lomami na Kongo Central./sites/default/files/2020-01/02012020-a-t-journatshilubasoirl-00.mp3