Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:hali hudumu huko univasti ya Kinshasa siku mbili kiisha mvutano kati ya wanfunzi na walinda amani mjini Kinshasa
  • Kinshasa:vipimo vya surua vimevuka kizingiti cha vifo elfu sita nchini jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo
  • Beni:Shambulio la kizuizi cha kuosha mkono ya majibu dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Ebola humo jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Swala la operesheni KinBopeto mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Kuzuia kodi kwa wafanyikazi wote nchini jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo 
  • Kananga;Jenerali Fidel Kaumba amehamishiwa Kwango kutoka jimbo la Kasai Central./sites/default/files/2020-01/08012020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3