Journal Swahili Soir

Kinshasa:ripoti ya ofisi ya pamoja ya umoja wa mataifaa kuhusu mauaji kuendeshwa jimboni Ituri

Beni:gome kubwa ya EDF imekuwa chinyi ya uongozi wa jeshi la taifaa pale Madina katika jimbo la Nord Kivu

Lubumbashi:Zaidi ya watenda maovu mia mbili na makumi mnane walishikwa na polisi  katika jimbo la Haut Katanga

Kinshasa;mafurikoya maji ya mvua pa Kindobo katika Nganda Yala mtaani Nsele

Kinshasa:mafuriko ya maji katika kartaa Musoso mtaani Limete

Kinshasa:Kin Bopeto sehemu ya tatu ya ripoti 

Matadi:barabara ya taifaa n0 kumi na sita ina tafuta kukatika pale kijijini Boko mtaani Madimba  katika jimbo la Kongo Central./sites/default/files/2020-01/10012020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3  

 

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner