Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:hali kudumu katika taasisi ya umma ya elimu ya juu ISTA
  • Kinshasa:Mvutano kunako taasisi ya byashara ISC
  • Kinshasa:Kazi zimerudilia katika taasisi ya IFASIC
  • Bukavu:Wanamgambo ambawo waliejisalimsha mwaka jana wametoroka na kurudila ngome yao ya zamani humo jimbo la Sud Kivu
  • Goma:Ripoti ya shirika kuhusu uuawaji wa zaidi ya watu makumi mawili mtaani Rutchuru katika jimbo la Nord Kivu
  • Mbandaka:Kiongozi wa FCC ana leta majibu kuhusu mapatano kati ya FCC na Cach
  • Kinshasa:Uchafu kutambulikana masokoni mwa mji wa Kinshasa./sites/default/files/2020-01/27012020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3