Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Mkutano kati ya waziri wa uchumi na ujumbe wa kiwanda cha sukari kutoka Kwilu Ngongo katika jimbo la Kongo Centrali
  • Kalemie:malori makumi nne zimezama pa Kipushi katika barabara huenda Lubumbashi humo jimbo la Tanganyika 
  • Kinshasa:milioni mia moja ya dola za amerika toka kwa waajasiriamali wa msri ajili ya miradi yuwekezaji nchini Kongo ya Kidemocrasia
  • Kinshasa:Waziri wa jinsia ana zumgumzia swala la ujeuri kwa wana wake 
  • Bukavu:kamanda mpya wa polisi ana tangaza kazi operesheni zero  mort wakati wa shuguli zao
  • Lubumbashi:Askofu wa kanisa la Methodiste ana towa ujumbe kwa wakaji wa Haut Lomami./sites/default/files/2020-01/28012020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3