Journal Swahili Soir

  • Benie:mitaa nne nyumba mpya ya ugonjwa kwa virusi vya Ebola mtaani Beni humo jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Hatari ya matembezi mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Mjibu ya mbunge muteuliwa wa mji wa Kinshasa
  • Bukavu:Msimamizi wa gavana wa jimbo la Sud Kivu aliuawa na wajambaji 
  • Lubumbashi:Ukaidi umeripuka mjini Kasumbalesa humo jimbo la haut Katanga 
  • Mbandaka :masomo ya msingi bure ni bora katika jimbo la Equateur./sites/default/files/2020-02/03022020-s-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3