Journal Swahili Soir

  • Bunia:Watu 23 wameuawa badaa ya shambulio la wa ADF pa Mandumbi katika jimbo la Ituri 
  • Beni:Kamanda wa vikosi vya Monusco pamoja na kamanda wa eneo la tatu la ulinzi wa FARDC
  • Kinshasa:Waziriwa mkuu wa Ubelgiji ana ngojewa jioni ya leo siku ya tatu mjini Kinshasa.
  • Kinshasa:Matembezi  ya wachaguliwa wa mji wa Kinshasa kwenye mabarabara za mji mkuu wa Jamhuri ya Kongo ya Kidemocrasia
  • Kinshasa:matembezi kwa njia ya pikpiki , ni mjibu ama shida ingine huletwa na uchukuzi wa watu wote
  • Kinshasa:Kufungwa kwa vilago vya pombe vimoja vimoja mtaani lemba sababu ya kelele nyingi hapa mji wa Kinshasa./sites/default/files/2020-02/05022020-s-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3