Journal Swahili Soir

  • Bukavu:François Grignon kuhusu kuondowa na kurudilia maisha ya kawaida kwa wapiganaji wa zamani wenye kutatiza majimbo la Nord na Sud Kivu
  • Beni:Jenerali Patrick Dube anaalika wakaji wa Beni kujitenga na wa Mai Mai huko jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Urekebishaji wa kalenda ya shule kwa wana funzi wa eneo la Mangina katika jimbo la Nord Kivu
  • Gbadolite:Watoto wa wahanga wa mafuriko ya mvua wa humo jimbo la equateur wana simamia na Unicef 
  • Kinshasa:Siku ya redio
  • Kinshasa:Waziri wa haki za binadamu kuhusu swala la Jacques matand na Deckson Assani./sites/default/files/2020-02/13022020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3