Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Mahakimu wapya wameaapa kiapo leo siku ya tatu mjini Kinshasa mbele ya raisi wa Jamuhuri
  • MbujiMay:Kutiwa nguvuni kwa meya wa Mbuji May humo jimbo la Lomami
  • Beni:Vijiji vina kosa wakaji huko neo la rwenzori kiisha shambulio la wa EDF
  • Kinshasa:Mkutano wa E-DRC na wawekezaji katika sekta ya digiti nchini Kongo ya kidemocrasia
  • Lubumbashi:Kampeni ya kujiandikisha kwa hadhi ya raia humo jimbo la Haut Katanga
  • Mbandaka:Matibabu ya shule ya mapema kwa watoto katiak jimbo la Equateur./sites/default/files/2020-02/19022020-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3