Journal Swahili Soir

  • Kinshasa :Mkutano wa pembe nne Angola ,Rwanda ,Kongo ya kidemocrasia na Uganda leo nchini Rwanda
  • Butembo:Kituo cha kuto umeme cha pale UVUHA kilishambuliw ana wa Mai mai asubui ya leo mapema humo jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Ulinzi wa taasisi ya INERB mjini Kinshasa
  • MbujiMay:Kituo mpya cha matibabu pale mji wa Ngadajika
  • Kinshasa:uzinduzi wa kampeni ya kupiganisha uchafu mtaani Lemba katika jimbo la Kinshasa
  • Kinshasa:Polisi ya matembezi bora wana vunja sahani za leseni mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Mjibu wa kamanda ya polisi kuhusu swala la kunyanyasa sahani za leseni/sites/default/files/2020-02/21022020-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3