Journal Swahili Soir

  • Lubumbashi:Siku ya pili leo tangu kuliandaliwa Mkutano ajili ya kuboresha hali ya byashara majimbonimjini Lubumbashi
  • Bandundu:Shirika la raia la jimbo la Kwilu lina laumu uwingi wa vizuizi mabarabarani zoote za huduma za kilimo
  • Beni:Ombi la meya wa Beni katika hafla ya kumbu kumbu ya miaka kumi na mnane ya kuundwa kwa redio Okapi 
  • Goma:Maoni ya wafanya siasa wa jimbo la Nord Kivu kuhusu miaka kumi namnane ya kuhundwa kwa redio Okapi
  • Mbuji-May:Mji wa Mbuji May umepata chumba cha tatu cha kuweka mili za mahiti huko jimbo la Kasai Oriental/sites/default/files/2020-02/25022020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3