Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:hali ya mvutano yenye kudumu huko kambi Bumba mtaani Lemba katika mji jimbo ya Kinshasa
  • Kindu:askari polisi mmoja aliuawa mwana funzi mmoja kwa risasi humo jimbo la Maniema 
  • Kasai-Central:Angalisho la kamisheni wa polisi jimboni Kasai Central kwa wa OPJ watabia mbaya katika eneo ilo 
  • Beni:Zaidi ya tani 1500 ya cacao na quinquina zilikamatwa ndani ya gala ya DGDA jimboni Nord Kivu
  • Kinshasa:Miaka 60 tangu kuundwa kwa Pharmakina kiwanda cha kutengeneza dawa ya kupiganisha maleria kupitia quinquina katika mji wa Bukavu jimboni Sud Kivu
  • Lubumbashi:wanawake wa Cafco wana dai uwakilishi wa wana wake kwenye makala ya umma nchini jamuhuri ya K/sites/default/files/2020-02/26022020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3idemocrasia ya Kongo.