Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Maoni ya wabunge wa taifaa wateuliwa wa  huko mashariki mwa nchi kuhusu mauawaji kuendeshwa katika majimbo la Nord Kivu na Ituri
  • Goma:Mbunge wa taifaa Didier kamundu ana towa maoni yake kuhusu usalama wa mitaa tatu za jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Angalisho ya jenerali Patience Yav kwa siasa ya polisi
  • Kananga:walibinos kumi na mnane wamfariki kwa keratose ama ugonjwa wa ngozi katika jimbo la Kasai Central
  • Mbuji-May:Mradi mpya kwa jina la Breakthrough action kuzinduliwa jimboni Kasai Oriental
  • Kinshasa:Wabunge waliochaguliwa jimboni Sankuru wana dai itimizwa sheria ya kuunda mji kwa jina la Lumumba humo jimboni mwao/sites/default/files/2020-02/27022020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3