Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Muisho wa ujumbe wa wabunge wa Cenco leo m,jini Kinshasa
  • Kinshasa:Ziara ya raisi wa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo mjini Washingtown nchini Merika
  • Kinshasa:Masomo baado  kuanziliwa huko chuo kikuu cha Kinshasa
  • Bunia:Hali ya usalama yenye kudumu mtaani Djugu kiisha mapambano ya jeshi la taifaa na wasi wa Codeco jimboni Ituri
  • Beni:Mafundisho ajili ya mazishi kwa heshima na usalama kwa wagonjwa wa virusi vya Ebola katika jimbo la Nord Kivu
  • Bukavu:Hali kutambulikana  mtaani Shabunda kufwatana na kuharibika kwa barabara Bukavu- Shabunda na pya sababu ya kufungwa kwa kiwanja cha ndege katika eneo ilo la jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:Wafungwa wa gereza kuu ya makala walitembelewa leo na waziri naibu wa sheria Bernard Takayite
  • Kinshasa:Kiongozi wa huduma za ujasusi wa kongo Leon Lukaku maefariki mjini Kinshasa leo asubuhi./sites/default/files/2020-03/02032020-s-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3