Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Kumbkumbu ya Lucha kwa waziri Mkuu kuhusu muungano FCC na Cach kuhusu mawakala wa makampuni za umma
  • Kinshasa:kikao cha Alain Atundu mbele ya wapasha habari 
  • Kalemie:Wasi wasi katika mji mdogo wa Nyunzu sababu ya wanamugambo wa Twa huko jimbo la Tanganyika
  • Lubumbashi:hali ya haki za bin Adamu katika jimbo la Haut katanga
  • Matadi:Kuhusu kuondoshwa kwa vizuizi katika mabarabara za jimbo la Kongo Centrali
  • Bandundu:kuiibwa kwa pesa kwa kila mawakala wa EPST katika jimbo la elimu la Kwilu ya kwanza./sites/default/files/2020-03/03032020-s-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3