Journal Swahili Soir

  • Bunia:Kundi la wanamgambo wa CODECO wametuma wakaji wa Utcha wanaanza kulala porini  katika usultani ya Bahema Nord jimboni Ituri
  • Goma :Mapambano  kati ya wanamgambo wa NDC/Renové  na APCLS ajiliya ongozo wa Nyabiondo na kando kando lake humo jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Siku kumi na tau bila kurikodi kesi mpya ya ugonjwa wa virusi vya Ebola huko Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Kuandaliwa kwa vitambulisho vya kweli vya biometriska ya waalimu  moja ya mapendekezo ya muungano wa watetezi mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Kartaa nyingi za mji jimbo ya Kinshasa zimeiishi katika giza siku hizi 
  • Kinshasa:Mjibu wa ausika na ugawanyaji wa umeme kwenye SNEL katika mji jimbo la Kinshasa./sites/default/files/2020-03/05032020-s-f-journalswahilisoir17h00-00.mp3