Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Dkt Muyembe Tamfum akifasiria  kuhusu masa makumi manne na mnane kwa kutangaza mwisho ya jana kwa virusi vya Ebola nchini Kongo ya Kidemocrasia
  • Kinshasa:Waziri wa afya nchini ana leta mafasiro kuhusu janga la Coronavirus na atuwa zenye zime kamatwa na serikali ya nchi
  • Bunia:Wakaji wana hama eneo la Biakato kwa shambulio la wana odhaniwa wa ADF
  • Beni:jeshi la taifaa lina kataza wakaji kurejea vijijini kando la barabara Mbau -Kamango katika jimbo la Nord Kivu
  • Kalemie:Kuhundwa kwa eneo la pili la ulinzi pa Nyunzu ajili ya usalama ya wakaji wa eneo ilo la jimbo la Tanganyika
  • Kinshasa:Monusco ana leta mafasirio kuhusu msaada wake ajili ya uchunguzi ya kufariki kwa jenerali Delphin Kahimbi 
  • Bukavu:mgomo tangu asubhi ya leo ya watumiaji wa ziwa Kivu sababu ya  kuongezeka kwa ushuru humu jimbo la Sud Kivu./sites/default/files/2020-03/09032020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3