Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Kesi ya kwanza ya coronavirusi nchini Kongo ya Kidemocrasia
  • Kinshasa:Kinyume ya coronavirusi kwa wafanya byashara mjini Kinshasa
  • Beni:Kuondoka kwenye kituo cha afya cha wagonjwa kumi namoja huko Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Sherhee ya heshima  HONORIS CAUSA kwa daktari Denis Mukwege 
  • Lubumbashi:Gavana ya Haut Katangaanaalika wakaji wa eneo chinyi ya uongozi wake waiishi katika umoja na amani kwa maendeleo ya jimbo ilo
  • Butembo:Shambulio la Kirumba na kuonekana kwa wa ADF katika eneo ilo la jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Walimu wa Eringeti wana omba wana funzi wafwatiliwe kisaikolojia  sababu ya hali mbovu ya maisha ya wazazi kufwatana na mavita ya mara na mara /sites/default/files/2020-03/10032020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3