Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Waziri wa afya nchini ana fafanuwa kuhusu mgonjwa wa coronavirus mjini Kinshasa
  •  Kinshasa:hali ya wasi wasi katika hospitali Sino Congolaise sababu ya kuhamishwa kwa mgonjwa wa corona virusi hospitali kuu hio
  • Kinshasa:Hospitali ya watoto ya pale Kalembe Lembe mtaani Lingwala ina lazma ya pembejeo  kwa watoto wanaouguwa ugonjwa wa utapiamlo kubwa 
  • Kisangani:Vituo vya afyavimekosa dawa ya kupinga ungojwa wa ukimwi kwa watoto wahanga tangu mwezi kadhaa humo jimbo la Tshopo
  • Lubumbashi:shirika la kiraia la Kasumbalesa lina shutumu usalama ndogo kutambulikana  katika eneo ilo la Haut Katanga
  • Goma:watu watatu waliuawa sababu ya maandamano baada ya kuawa kwa watu wawili pale Kirumba katika jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Kikao ajili ya mradi ya ujenzi wa daraja na barabara na reli kati ya Kinshasa na Brazzaville munamo tarhe kumi na tisa machi ijao mjini Brazzaville./sites/default/files/2020-03/11032020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3