Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Waziri wa afya nchini ana sisistiza wakaji kuhusu ugonjwa wa Coronavirusi
  • Bandundu:Muuguzi mkuu wa kituo cha afya cha Dima Lumbu  katika jimbo la Kwilu ana shutumu uupuzi wa wazazi kuwa chanzo ya kufariki kwa watoto wengi katika eneo ilo la nchi 
  • Beni:watu kumi na tisa walikamatwa mateka na wasi porini kumepita siku tano humo jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Ushirikiano ya FARDC na Monusco una saidia FARDC kutambua ngome za wasi wa ADF humo jimbo la Nord Kivu
  • Lubumbashi:Zaidi ya wana wake elfu moja na mia tatu walikamatwa kwa kinguvu humo jimbo la Haut Katanga mda wa mwaka mmoja
  • Kisangani:Yowe ya Liwali wa jimbo la Tshopo kuhusu ugawanyaji wa umeme mjini Kisangani./sites/default/files/2020-03/12032020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3