Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Kesi saba za Covid-19 zimerikodiwa mjini Kinshasa alitangaza waziri wa afya nchini
  • Beni:Hatua ya kuzuia dhidi ya Covid-19 na meya wa Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Goma:Kiogozi wa agizo ya wafamasia anaalika wenzake waongoze wagonjwa  wa humo jimbo la Nord Kivu
  • Goma:Hoja ya wafanya biashara wa Goma kuhusu swala la Covid-19
  • Kinshasa:Ombi la shirika la kiraia kuhusu Covid-19
  • Kinshasa:Vikao vyote vina simamishwa kutoka bunge la Kitaifaa
  • MbujMay:kuzuka mara tena kwa ugonjwa wa kipindu pindu pale Bonzola katika jimbo la Kasai Oriental./sites/default/files/2020-03/18032020-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3