Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Waziri wa afya nchini anatangaza hali ya janga la Coronavirusi kwa sasa mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Waziri wa afya  nchini ana jitetea kuhusu uvumi kuelekea kuambukizwa kwa wamemba wa serikali ya nchi
  • Kinshasa:Kuzororta kwa shuguli zoote za umma ajili ya janga la Coronavirusi
  • Kinshasa:Hatua za uchukuzi kuchukuliwa na Liwali wa mji jimbo la Kinshasa kuepuka janga la Corona virusi
  • Bandundu:Hatua  kuchuguliwa na Liwali wa jimbo la Kwilu kuepuka janga la Coronavirusi jimboni humo
  • Beni:Hatua za mkuu wa nchi kusimamisha shuguli,vipi kuhusu masoko za huko Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Lubumbashi:Kuongezeka kwa bei ya gunia ya mahindi mjini Lubumbashi katika jimbo la Haut Katanga./sites/default/files/2020-03/20032020-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3