Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:wakaji wa mji jimbo la kinshasa huenda kubaki makwao tangu leo usiku hadi siku ya pili ijao
  • Kinshasa:Hali ya soko kuu ya mji wa Kinshasa siku moja mbele ya hatuwa ya kuiketi mlangoni kwa wakaji wote
  • Kinshasa:hali inatambulikana jee hapo pwani Libongo
  • Goma:Liwali wa jimbo alizungmza na wafanya byashara kuhusu kuongezeka kwa bei sokoni mwa mji wa Goma
  • Kinshasa:hali ya Covid-19 ni jee nchini Kongo ya kidemocrasia kwa  siku ya leo
  • Bunia:Shambulio la wasi wa Codeco na kufaiki kwa kiongozi wao Ngudjulo humo jimbo la Ituri
  • Kalemie:Shambulio la wasi wa Twa katika jimbo la Tanganyika./sites/default/files/2020-03/27032020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3