Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Waziri wa haki za bin Adam ana towa maoni yake kuhusu mapambano kati ya Bakata Katanga na jeshi ya taifaa jimboni Haut Katanga 
  • Beni:Zaidi ya watu makumi tatu walietekwa nyara na wa ADF walitoroka kijijni Kisiki humo jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Kuhusu COVID-19 leo nchini Kongo ya kidemocrasia
  • Bukavu:kesi ya kwanza ya Coronavirusi jimboni SudKivu,wagonjwa wawili zimehakikishwa na liwali gavana Theo Kasi Nguabidje
  • MbujiMay:Waziri wa afya jimboni ana towa maoni yake kiisha kufariki kwa mwanamke mgonjwa wa Covid-19 humo jimbo la Kasai Oriental
  • Kananga:Kuhusu Covid-19Lizadehel ina towa mapendekezo yake huko jimbo la kasaiCentral
  • Mbandaka:Kufungwa kwa mpaka ya Kongo na Africa ya kati  pale Zongo 
  • Kinshasa:Hotuba ya Udps/Tshisekedi./sites/default/files/2020-03/30032020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3