Journal Swahili Soir

  • Bunia:Liwali wa Ituri anakataza wakaji wa Ituri kutumia vurugu kwa kuwafukuza wasi wa Codeco
  • Kinshasa:Milioni sita y'amerika toka merika kwa kupiganisha janga la Covid-19 nchini Kongo ya Kidemocrasia
  • Bukavu:Operesheni ya kupuunguza kwa idadi ya wafungwa katika gereza ya Bukavu kwa kuzuia kuenea kwa Covid-19
  • Mbandaka:kufungwa kwa soko za  mpaka humo jimbo la Sud Ubangi
  • Kinshasa:hali ya Covid-19 ni jee kwa leo nchini Kongo ya kidemocrasia?
  • Lubumbashi:Magari zimeshikiliwa kwa wiki mbili barabarani na vifaa na chakula sababu ya kuharibika kwa barabara ya humo jimbo la Haut Katanga 
  • Kinshasa:kuanza tena kwa shuguli katika nyumba ya jumuiya ya Ngaliema./sites/default/files/2020-03/31032020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3

Recevez Radio Okapi par email

Donnez votre adresse email dans ce formulaire afin de recevoir tous nos articles dans votre boîte email. Vous recevrez un message de confirmation avec un lien sur lequel il vous faudra cliquer afin que l'envoi d'emails devienne effectif.
Si vous ne voyez pas l'email de confirmation dans votre boîte de réception, allez chercher dans vos spams et marquez le message comme "non spam".  

Votre adresse email :

Service offert par FeedBurner