Journal swahili soir

  • Kinshasa:korti ya kikatiba ilitangaza amri , tutafwata mjibu ya Jean Pierre Bemba
  • Kinshasa:mjibu ya  mtetezi wake Samybadibanga
  • Kinshasa:maoni ya uwingi wa uraisi
  • Kinshasa:tangazo la pamojaMoise katumbi na Adolphe Muzitu
  • Kinshasa :mjibu ya shirika mpya ya kiraia
  • Kisangani: Darasa kumi na munae hazikufunka jana tarhe tatu septemba  mtaani Ango jimboni bas Uele sababu ya  LRA
  • Goma:kuhusu wafungwa wa Lucha mjini Goma jana
  • lubumbashi:mjibu y'askari polis kiisha fujo ya siku ya sita iliopita mjini Lubumbashi
  • Beni:Shambulizi la wa ADF kijijini Ngadi jana jioni./sites/default/files/2018-09/04092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3