- Beni:chanzo mpya ya ugonjwa kwa virusi y'Ebola katika kartaa Ndindi jimboni Nord Kivu
- Bunia:hakuna kurudia shuleni katika eneo la Mambasaa sabau ya ugonjwa kwa virusi y'Ebola
- Lubumbashi:Hakuna kufunguliwa kwa masomo pa Malemba Nkulu sababu ya kutanga tanga kwa tembo.
- Kananga:walimu wana dai malipo yawo pale Lwebo jimboni kasai centrale
- Goma.mapambano kati ya jeshi la taifaa na mai mai Nyatura pa Rugari katika jimbo la Nord Kivu
- Bukavu:Denis Mukwege ana towa ongero kwa sheria la jeshi la taifaa idadi ya wabakaji imeshuka
- Kinshasa: kikao cha mashirika za umoja wa mataifaa leo kilizungmuzia swala kuhusu kuuawa kwa watalahamu wa umoja wa mataifaa jimboni kasai mwaka jana
- Kinshasa :swala mbili kubwa za kinyume ya katiba huenda kufikishwa kunako korti ya kikatiba
- Mbuji-Mayi:Kikao ajili ya maendeleo za majimbo tano zilizo tatizwa na waasi w/sites/default/files/2018-09/05092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3a kamuina Nsapu