Journal swahili soir

  • Beni:habari kuhusu ugonjwa  ya kuambukiyana kwa virusi y'Ebola jimboni Nord Kivu
  • Beni:alikwa ya Liwali ya jimbo kwa wakaji wa kijiji Ndindi kitofo mpya cha virusiy'ebola mtaani Beni
  • Kalemie:kuripuka mara tena kwa ugonjwa wa kipindu pindu pa Kongolo katika jimbo la Tanganyika
  • Lubumbashi:watu wamefariki kiisha msiba ya gari la moshi pa tenke katika jimbo la Lualaba
  • Kananga :mapambano kati ya kundi mbili za wasi mtaani Dibaya katika jimbo la Kasai centrale
  • Goma:idadi ya wahanga ya mapambano kati ya wasi Nyatura na jeshi la nchi imeongezeka pale Rugari katika jimbo la Nord Kivu
  • Lubumbashi:hotuba ya Kyungu wa ku Mwanza kuhusu kijana aliuawa wakati ya maandamano ya siku moja septemba iliopita mjini Lubumbashi
  • Kinshasa:Kikao cha Chekomba kwa kushauria Ceni ajili ya kikao cha mabishano kwa wausika na uchaguzi kuhusu mashini ya uchaguzi
  • Kinshasa:baruwa ya muito kwenye korti ya kikatiba  ya wagombea kukataliwa /sites/default/files/2018-09/06092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3na Ceni , zimeanza kuchunguzwa leo na matokeo kiisha saa makumi nee na munane