Journal swahili soir

  • Kinshasa:Kutangazwa kwa mradi ya mgombea mmoja wa kiti cha urassi Denis Kikuni
  • Kananga:Kutiwa nguvuni kwa mshaidi mmoja wa kuawa kwa watalhamu ya umoja wa mataifa
  • Beni:Kuachiliwa huru kwa waliozaniwa kumuuawa padri Vincent machozi
  • Matadi:watu mbili wamefariki kwa shambulizi mbili tofauti ya wevi wa silha katika jimbo la Kongo centrale
  • Kisangani:Unpc ina shutumu shambulizi la wapasha habari wawili
  • Kananga :kwanzishwa kwa kampuni ya kwandikisha watoto shuleni bila malipo
  • Kinshasa :Kikao cha  ma editeurs ya vitabu ya masomo/sites/default/files/2018-09/07092018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3
  • Uvira Shirika OADR ina shutumu njaa na umasikini ya wakaji wa Kiringi yulu ya milima ya mtaa wa Uvira
  • lubumbashi:matokeo mpya ya msiba ya gari la moshi jimboni Lualaba.