Articles de la catégorie « Swahili »

14/02/2020 - 17:48
Goma:Imefunguliwa tamasha y'amani mjini Goma katika jimbo la Nord Kivu Kisangani:Meya wa mji wa Kisangani anatowa mikakata ya kuipambana na yo
/
13/02/2020 - 17:35
Bukavu:François Grignon kuhusu kuondowa na kurudilia maisha ya kawaida kwa wapiganaji wa zamani wenye kutatiza majimbo la Nord na Sud Kivu
/
12/02/2020 - 17:44
Bukavu:Siku ya kimataifaa y'askari wa watoto hali ni Je kwa leo humo jimbo la Sud Kivu Kinshasa:HCR lina hesabia wakimbizi elfu mia moja wa ndani
/
11/02/2020 - 17:30
Kinshasa:Matokeo ya mgomo ya kazi ya mahakama wa Synamac Kinshasa:Utambulisho wa walimu mpya opersheni ilianzishwa jana nchini koote
/
10/02/2020 - 17:50
Kinshasa:ufunguzi ya mahakama juu ya utekelezaji wa kazi za Sauts -de-mouton na makazi ya kijamii
/
07/02/2020 - 17:29
Lubumbashi:Ufunguzi rasmi wa ofisi ya ubaloji wa Ubelgiji jimboni Haut Katanga MbujiMay:Kuwekwa kwa jiwe la msingi ya kazi za ukarabati wa Regideso jimboni KasaiOriental
/
06/02/2020 - 17:29
Kinshasa:Kikao cha waziri mkuu wa ufalme wa ubelgiji na raisi wa Jamhuru ya Kidemocrasia ya Kongo Kinshasa:Ujumbe wa waziri wa Ubelgiji ausika na ushirikiano wa maendeleo
/
05/02/2020 - 17:30
Bunia:Watu 23 wameuawa badaa ya shambulio la wa ADF pa Mandumbi katika jimbo la Ituri  Beni:Kamanda wa vikosi vya Monusco pamoja na kamanda wa eneo la tatu la ulinzi wa FARDC
/
04/02/2020 - 17:30
Kinshasa:tatizo kuletwa na kazi za sauts- de- moutons Kinshasa:Mjibu ya balozi wa raisi Felix Tshisekedi kuhusu swala la sauts -de-moutons
/
03/02/2020 - 17:23
Benie:mitaa nne nyumba mpya ya ugonjwa kwa virusi vya Ebola mtaani Beni humo jimbo la Nord Kivu Kinshasa:Hatari ya matembezi mjini Kinshasa
/