Articles de la catégorie « Swahili »

06/03/2020 - 17:44
Kinshasa:Julien Paluku ana wapatia  wausika na deni za FPI muda wa ma saa makumi manne na mnane 
/
05/03/2020 - 17:24
Bunia:Kundi la wanamgambo wa CODECO wametuma wakaji wa Utcha wanaanza kulala porini  katika usultani ya Bahema Nord jimboni Ituri
/
04/03/2020 - 17:55
Bunia:Kesi kadhaa za utapiamlo katika kambi la wahami wa ndani pale Petsi katika usultani wa Walendu Djatsi jimboni Ituri
/
03/03/2020 - 17:29
Kinshasa:Kumbkumbu ya Lucha kwa waziri Mkuu kuhusu muungano FCC na Cach kuhusu mawakala wa makampuni za umma Kinshasa:kikao cha Alain Atundu mbele ya wapasha habari 
/
02/03/2020 - 17:37
Kinshasa:Muisho wa ujumbe wa wabunge wa Cenco leo m,jini Kinshasa Kinshasa:Ziara ya raisi wa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo mjini Washingtown nchini Merika
/
28/02/2020 - 17:41
Beni:jenerali Delphin Kahimbi amefariki mjini Kinshasa leo siku ya tano,kiongozi wa zamani wa kazi za akili za jeshi
/
27/02/2020 - 17:28
Kinshasa:Maoni ya wabunge wa taifaa wateuliwa wa  huko mashariki mwa nchi kuhusu mauawaji kuendeshwa katika majimbo la Nord Kivu na Ituri
/
26/02/2020 - 17:36
Kinshasa:hali ya mvutano yenye kudumu huko kambi Bumba mtaani Lemba katika mji jimbo ya Kinshasa
/
25/02/2020 - 17:30
Lubumbashi:Siku ya pili leo tangu kuliandaliwa Mkutano ajili ya kuboresha hali ya byashara majimbonimjini Lubumbashi
/
24/02/2020 - 17:30
Kinshasa:Masomo haikurulia pale chuo kikuu cha Kinshasa leo tarhe makumi mawili na nnee februari
/