Maelfu ya watumishi watahusika na kuwaandika wachaguzi

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Katika utekelazaji wa operesheni za uchaguzi, kutawekwa kazini watumishi watakao endesha kazi hizi. Ni kwanza watumishi wane katika kila kituo cha uandikishaji, na wengine ambao huenda kutumika pahali pa wenzao kukiwa matatizo ya magonjwa ao mchoko. Inafahamika kama, kunatakiwa kushimikwa vituo elfu tisa (9 000) katika maeneo ya jamhuri ya kidemokrasi ya Congo. Watumishi wa kwanza wanakadiriwa elfu makumi tatu na sita (36 000). Kunatiwa pia watumishi wa uchaguzi lake mbili (200 000).