Articles de la catégorie « Swahili »

03/04/2020 - 17:58
Kinshasa:hali ya tarehe ya Covid-19 nchini Goma:Kesi nne zilizothibitishwa za Coronavirus Beni:Kesi ya kwanza ya Cornavirus mjini Beni humo jimbo la Nord Kivu
/
02/04/2020 - 17:26
Kinshasa:Mwito wa wafanyikazi wa serikali upatikana mbali na familia sababu ya Covi-19 Bukavu:Mji wa Bukavu imetengwa na mitaa zote za eneo ilo la Sud Kivu
/
01/04/2020 - 17:48
Matadi:Wafanya byashara wameitajiika kupunguza bei ya mahitaji ya msingi humo jimbo la Kongo Central Kinshasa:hatua za serikali za kusambaza mji wa Kinshasa
/
31/03/2020 - 17:51
Bunia:Liwali wa Ituri anakataza wakaji wa Ituri kutumia vurugu kwa kuwafukuza wasi wa Codeco
/
30/03/2020 - 17:37
Kinshasa:Waziri wa haki za bin Adam ana towa maoni yake kuhusu mapambano kati ya Bakata Katanga na jeshi ya taifaa jimboni Haut Katanga 
/
27/03/2020 - 17:50
Kinshasa:wakaji wa mji jimbo la kinshasa huenda kubaki makwao tangu leo usiku hadi siku ya pili ijao
/
26/03/2020 - 18:25
Bunia:Kiongozi ya waasi CODECO alikuwa kwenye vita ya jana na Fardc jimboni Ituri Kalemie:harakati za wakaji wa Moliro hadi Moba humo jimbo la Tanganyika
/
25/03/2020 - 17:26
Kinshasa:Takwimu za hivi karibu kutoka Covid-19 Kinshasa:Hatua mpya ya raisi dhidi ya Covid-19 Kinshasa:Hatua mpya za Mkuu wa nchini dhidi  ya Covid-19
/
24/03/2020 - 17:36
Kinshasa:karatasiya usawa ya Covid-19 Kinshasa:Ushuda ya mgonjwa wa Covid-19 ameponya mjini Kinshasa
/
23/03/2020 - 17:52
Lubumbashi:Watu wasitembee kwa mda wa siku mbili jimboni Haut Katanga kwa kuepuka virusi vya Corona mwito ya Liwali wa jimbo
/