Articles de la catégorie « Swahili »

30/03/2020 - 17:37
Kinshasa:Waziri wa haki za bin Adam ana towa maoni yake kuhusu mapambano kati ya Bakata Katanga na jeshi ya taifaa jimboni Haut Katanga 
/
27/03/2020 - 17:50
Kinshasa:wakaji wa mji jimbo la kinshasa huenda kubaki makwao tangu leo usiku hadi siku ya pili ijao
/
26/03/2020 - 18:25
Bunia:Kiongozi ya waasi CODECO alikuwa kwenye vita ya jana na Fardc jimboni Ituri Kalemie:harakati za wakaji wa Moliro hadi Moba humo jimbo la Tanganyika
/
25/03/2020 - 17:26
Kinshasa:Takwimu za hivi karibu kutoka Covid-19 Kinshasa:Hatua mpya ya raisi dhidi ya Covid-19 Kinshasa:Hatua mpya za Mkuu wa nchini dhidi  ya Covid-19
/
24/03/2020 - 17:36
Kinshasa:karatasiya usawa ya Covid-19 Kinshasa:Ushuda ya mgonjwa wa Covid-19 ameponya mjini Kinshasa
/
23/03/2020 - 17:52
Lubumbashi:Watu wasitembee kwa mda wa siku mbili jimboni Haut Katanga kwa kuepuka virusi vya Corona mwito ya Liwali wa jimbo
/
20/03/2020 - 17:32
Kinshasa:Waziri wa afya nchini anatangaza hali ya janga la Coronavirusi kwa sasa mjini Kinshasa
/
19/03/2020 - 17:35
Kinshasa:Hatuwa toka kwa Raisi wa nchi kuhusu Covid-19 Kinshasa:Hotuba ya Raisi wa jamhuri kwa wakaji ajili ya Covid-19
/
18/03/2020 - 17:52
Kinshasa:Kesi saba za Covid-19 zimerikodiwa mjini Kinshasa alitangaza waziri wa afya nchini Beni:Hatua ya kuzuia dhidi ya Covid-19 na meya wa Beni katika jimbo la Nord Kivu
/
17/03/2020 - 17:31
Kinshasa:Kikao cha kitaalama na bunge la kitaifa leo mjini Kinshasa Kinshasa:Kikao cha viongozi wa umma kuhusu Coronavirusi
/