Articles de la catégorie « Journal swahili »

05/10/2026 - 17:17
Bunia : Viongozi wa jamii wanatoa wito kuhusu kurejea kwa vita katika mtaa ya Djugu. Kindu : Leo ni siku bila taxi ya pikiki mujini Kindu kutokana na usumbufu unaofanywa na polisi.
/
03/10/2026 - 07:33
Mashirika yasiyo ya kiserikali yalaani kushindwa kutii makubaliano ya Washington na Doha; huku, mashirika haya yataka kushiriki kwa karibu zaidi katika juhudi za amani mashariki mwa Jamhuri ya Kide
/
02/10/2026 - 06:39
Itahizinishwa hivi punde Inchini DRC kampeni ya vipimo vya kansa za matiti kwa wanawake, ikiwa ni mpango wa juma ya uhamasishaji uitwayo octobre rose
/
01/10/2026 - 17:58
Itahizinishwa hivi punde kampeni ya vipimo vya kansa za matiti kwa wanawake, ikiwa ni mpango wa juma ya uhamasishaji uitwayo octobre rose
/
01/10/2026 - 08:58
Shirika la raia la mashariki wa Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo ya toa ripoti kwa Kamati ya usalama ya umoja wa kimataifa, huko, likilaani vita vya uchumi vinayo chohewa na madini
/
01/10/2026 - 08:55
Shirika la raia la mashariki wa Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo ya toa ripoti kwa Kamati ya usalama ya umoja wa kimataifa, huko, likilaani vita vya uchumi vinayo chohewa na madini
/
25/09/2026 - 16:20
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza nyongezo wa msaada wa kibinadamu na wa kiafya wa moja kwa moja wa ziada wa dola milioni 267 kusaidia kupambana na mlipuko wa Ebola katika Jamhuri ya Ki
/
25/09/2026 - 05:35
Watu makumi tatu na kenda walipotea, na wengine makumi tatu na sita wakaokolewa.
/
24/09/2026 - 16:16
Watu makumi tatu na kenda walipotea, na wengine makumi tatu na sita wakaokolewa.
/
24/09/2026 - 05:38
Wakaaji wa kijiji cha Ntemo-Ndimbanienge, yenye kupatikana mtahani Mbanza-Ngungu, wameamua kuchukua hatima yao mikononi mwao.
/