Shirika la raia la mashariki wa Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo ya toa ripoti kwa Kamati ya usalama ya umoja wa kimataifa, huko, likilaani vita vya uchumi vinayo chohewa na madini
Kivu kusini, kiongozi wa mtaa wa Fizi hutoa tahadhari kuusu ugonjwa wa kuhara ambao tayari ume waharibishiya watu kumi maisha yao.
Na huko Mikalayi pa Kasai Oriental, kuna tembo moja inayozagaazagaa na kuwatisha wakaaji. Nyama uyu ame mukanyaga kijana mmoja na kumuwa papohapo. Shirika la raia laomba kwa viongozi kufanya iwezekanavyo kwa kuepusha wakaaji na vitisho ya nyama huu.
/sites/default/files/2026-10/300926-journal-swahili-soir.mp3






